.
Msikiti Mkuu wa Ijumaa ulijengwa mwaka 1903 na Sheikhe Amin Abdallah kwa fedha zake,aliutoa wakfu kabla ya kufariki mwaka 1938 ambapo uliongozwa na mwanaye Sheikhe Abdallah Amin kisha mwaka 1957 iliundwa bodi ya wadhamini ya msikiti huo.
.
Programu hiyo ya kukuza ujuzi inayoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu inatokana na utafiti wa Nguvu Kazi ya Taifa wa mwaka 2014 uliobaini kuwa asilimia kubwa ya watanzania wana ujuzi kwa kiwango cha chini.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt.
Aidha, ameongeza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.